Wadau wa Konyagi wakiwa katika Kilimanjaro Beer Festival jioni hii katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam. Leo ni hadi lyamba na kesho tena hadi majogoo. Tamasha limeandaliwa na BONGO 5 kwa kushirikiana na TBL kupitia kilaji cha Kilimanjaro Premium Lager
 Meza kuu ya Tanzania Distilleries 
 DSTV bin MultiChoice ndani ya nyumba
 Meneja wa kilaji cha Ndovu Special Malt Pamela kikuli na kinadada wanaohudumua bandani hapo
 Mini-golf katika banda la Ndovu na Castle Lite
 Ankal na wadau ndani...
 Nyama choma kwa kwenda mbele
Wadau wa Kilimanjaro Beer Festival

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...