Nyomi ikimsikiliza Mzee Mkapa leo
Mkapa akimnadi mgombea wa CCM Dk Dalaly Kafumu katika mkutano huo
Nani kasema kuna uhasama wa kiitikadi Tanzania? Hapa kijana wa CHADEMA akimsaidia Kijana wa CCM kufunga bendera kwenye kijiti mjini Igunga kudhihirisha kwamba wote ni wamoja kitaifa japo kivyama ni tofauti Mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo(Chadema)na Mbunge wa Hai Mheshimiwa Freeman Mbowe akiwasha moto kwenye kuhitimisha Rasmi Kampeni za Chama hicho Igunga

Sehemu kubwa ya Umati wa Wana igunga wakishangilia kwa nguvu Wakati Helikopta ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)ikitua kwenye mkutano wao wa kuhitmisha kampeni zao rasmi jana igunga.
Picha Zote na mdau Joseph Senga






Kesho magamba lazima mshikishwe ukuta tu
ReplyDeleteHivi igunga kulikuwa na chama kimoja tu!!!
ReplyDeleteVijana hawa wanaonyesha mfano mzuri wa kuigwa na viongozi wetu, wote ni Watanzania, tunachotaka ni maendeleo yetu sio uhasama au ufisadi na wizi wa mali zetu. Mungu ibariki Tanzania
ReplyDeletechadema huwa hawana roho mbaya .....CCM mmhhhhhhhh! U-MIMI-M umewatawala. Nafikiri hata ile oho ya kimungu hawana
ReplyDelete