Home
Unlabelled
kituo kipya cha daladala cha mbezi sasa mambo mswano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tatizo moja tu hakina choo sijui abiria watakuwa wanajisaidia wapi? Na tulivyo wabongo utaona kinafunguliwa hivyo hivyo ili wapate gate collection. Mdau Fidel.
ReplyDeleteMichuzi sio mswano coz hakina choo hata kimoja,aibu tupu
ReplyDeleteSo far litho sijaona hata sehemu ya kutupia uchafu loh Tanzania yeti tuamke jamani . Huwezi kuanzisha kituo bila kuweka dustbins
ReplyDeleteSasa hivi utaona wabongo wanaanza kunya tena hadharani na wengine watadiriki kuandika majina yao kwa kinyesi ili mradi tu. Kuishi Bongo kuna kazi jamani msituone hivi tumechoka, tuna mawazo mengi!
ReplyDeleteNina wasiwasi hii stendi itasababisha foleni balaa katika hiyo barabara.
ReplyDeleteUnajenga nyumba nzuri halafu unasahau kujenga choo, siku unakaribisha wageni nyumbani kwako unawapeleka kwa jirani kujisaidia. Ni aibuuuuu. Unawezaje kujenga kituo cha umma bila kuweka choo?
ReplyDeleteHIVI WAAFRIKA MNA MATATIZO GANI?
ReplyDeleteKwani sie tuna taratibu ya kutumia choo?? Ni bora hiyo pesa ikafanyia mambo mengine.
ReplyDelete