Huu ndio muonekano wa kituo kipya cha Daladala cha Mbezi mara baada ya kupigwa sop sop ya nguvu.hapa kinachosubiriwa ni amri ya kuzitaka daladala zote kuhamia katika kituo hiki.
 kila kitu kiko mswano,hadi sehemu ya kupumzikia abiria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Tatizo moja tu hakina choo sijui abiria watakuwa wanajisaidia wapi? Na tulivyo wabongo utaona kinafunguliwa hivyo hivyo ili wapate gate collection. Mdau Fidel.

    ReplyDelete
  2. Michuzi sio mswano coz hakina choo hata kimoja,aibu tupu

    ReplyDelete
  3. So far litho sijaona hata sehemu ya kutupia uchafu loh Tanzania yeti tuamke jamani . Huwezi kuanzisha kituo bila kuweka dustbins

    ReplyDelete
  4. Sasa hivi utaona wabongo wanaanza kunya tena hadharani na wengine watadiriki kuandika majina yao kwa kinyesi ili mradi tu. Kuishi Bongo kuna kazi jamani msituone hivi tumechoka, tuna mawazo mengi!

    ReplyDelete
  5. Nina wasiwasi hii stendi itasababisha foleni balaa katika hiyo barabara.

    ReplyDelete
  6. Unajenga nyumba nzuri halafu unasahau kujenga choo, siku unakaribisha wageni nyumbani kwako unawapeleka kwa jirani kujisaidia. Ni aibuuuuu. Unawezaje kujenga kituo cha umma bila kuweka choo?

    ReplyDelete
  7. HIVI WAAFRIKA MNA MATATIZO GANI?

    ReplyDelete
  8. Kwani sie tuna taratibu ya kutumia choo?? Ni bora hiyo pesa ikafanyia mambo mengine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...