Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hapo lugha sio muhimu cha muhimu kazi inaenda vizuri mauzo yanapatikana mdomo kinywani wana jamii wanapata huduma mambo swaaaafi.

    ReplyDelete
  2. Hii kweli ni lugha gongana, kama ni ajali basi hatoki mtu kwa kweli..
    Mdau,
    Uholanzi!!

    ReplyDelete
  3. inhi inhi inhi inhi..teh teh teh...hivi naona au macho yangu..kama vile bucter=bukta yaani kaptura......

    ReplyDelete
  4. Tanzania ndio maana watu hawaishi zaidi ya miaka 40 hii nayo sehemu yakuuzia nyama ama chakula?wizara ya Afya inafanya nini tanzania?Jamani tanzania iko na wasomi kweli?

    ReplyDelete
  5. MSAHIHISHENI HUYU MWANDISHI NA WENGINE TUNAOSOMA HII BLOG KAMA MIMI SILIJUI NENO HILI LINAANDIKWA VIPI KAMA MNAONA LIMEKOSEWA LIANDIKENI BASI KWA USAHIHI NA SISI TUPATE ELIMIKA JUU YA NENO HILI LA DUKA KUUZIA NYAMA KWA KIINGEREZA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...