Hamza Kamara kutoka Sierra Leone, akiwa kwenye mazoezi ya asubuhi ya leo kujiweka tayari kwa kliniki ya soka ya kimataifa ya Airtel Rising Stars ambayo itaanza rasmi kesho tarehe 30 kwenye Uwanja wa Taifa chini ya ukufunzi wa makocha kutoka Manchester United. Kliniki hiyo itakuwa na washiriki kutoka Kenya, Malawi, Sierra Leone na Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...