Baadhi ya waandishi wa habari wakisubiri kupatiwa maelekezo na ungozi wa CHOGM kwaajili ya maeneo stahili ya kufanyia kazi. wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wajumuia ya madola.
eneo la mapokezi kwa waandishi wa habari wanaoshiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola CHOGM
2011 (Commonwealth Heads of State Government mjini Perth Australia
Sehemu maalumu ya kufanyia kazi waandishi wa habari watakaohabarisha matukio mbalimbali ya mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola (CHOGM ) mjini Perth Australia kuanzia oktoba 28- 30, 2011 . Mkutano wa CHOGM hufanyika kila baada ya miaka miwili, -Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankali nawewe tafuta mitambo kama hiyo sasa mitambo ya ukweli achana na hizo camera zako za wapiga picha wa zamani negativu ukilipia nusu hahahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...