Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akiwa pamoja na baaadhi ya wake wa viongozi wawaliohudhuria mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola wakiangalia sanaa ya asili wa watu wa nchi ya Australia oktoba 29. 2011 inayopigwa na Olman Walley walipofanya ziara ya kuangalia aina mbalimbali ya wanyama ,bustani ya hifandi ya miti ya asili kwenye eneo la Caversham Wildlife Park .Pichani wa pili kulia ni Mke wa Rais wa Nigeria Patience Jonathan.
Mama akionyeshwa vazi la asili-na mhifadhi olman walley- Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akiangalia pamoja na kupatiwa historia mbalimbali kuhusu aina ya vazi liliotengenezwa kwa ngozi ya mnyama wa asili ya Kangaroo . kutoka kwa mhifadhi Olman Walley walipotembelea bustani ya mimea ya asili pamoja na wanyama katika eneo maalumu la King's Park Austaralia.
Picha ya Mhifadhi Olman Walley ikiwa ni kielelezo cha kuonyesha jinsi ya utamaduni wa vazi la zamani la asili ya watu wa Australia . Jamani utamaduni tusidharau utamaduni wetu. unamouna alivyopendeza?
Mama Salma Kikwete (kushoto) akiangalia pamoja na kupatiwa historia mbalimbali kuhusu aina ya vazi liliotengenezwa kwa ngozi ya mnyama wa asili ya Kangaroo . kutoka kwa mhifadhi Olman Walley walipotembelea bustani ya mimea ya asili pamoja na wanyama katika eneo maalumu la King's Park Austaralia. Picha zote na mdau Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Wazung bwana. Wameamua kuwatangaza Aborigino ambao ni kizazi mchanganyiko na wazungu. Aboriginal asilia ni weusi kama waafrika na bado wapo Australia. Hawana pua ndefu kama huyo aliyeoneshwa. Tofauti na waafrika ni kwamba miili yao na nyuso zao ni pana kuliko za waafrika na pia nyele zao ni ndefu japo hazipo katika mpnagilio mzuri kama za wazungu.
ReplyDeletehawa wazungu wapuuzi kabisa. wana historia gani australia wakati ni wavamizi? kila mtu anajua kuwa australia ni nchi ya watu weusi aboriginal na sio wazungu.
ReplyDeletekumuangalia tu unaona kuwa jamaa anajitahidi kuvaa mavazi sio yake na hajaelekea kabisa.....
mama, usishike kioo utaacha mavidole.
ReplyDelete