Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. NI KWERI KABISA KWA SASA ASILIMIA 95 YA WANAFUNZI WA MIJINI WANATUMIA MUDA WAO MWINGI KTK MITANDAO YA FACE BOOK BADALA YA KUSOMA NA HIVI IWEZEKANAVYO KUTUMIA SIMU NDIO KABISA KUTWA WANAFUNZI NI KUBOFYA TENA KTK MASWALA YA MAPENZI HUU UTANDA WAZI MBONA KAZI IPO KWERI Mdau Richie wa ughaibuni

    ReplyDelete
  2. A time sink (or timesink) is an activity that consumes significant time
    Tunakushukuru kwa ujumbe. Computer can be very useful in the house helping young people learn and explore the world, but there are many hidden dangers, apart from being a TIMESINK there are also nasty things like PORNO Ujumbe hapo ni keep an eye on those little fingers

    ReplyDelete
  3. Hata watu wazima wenye kazi zao sasa imekuwa njia rahisi ya kukutana. Pia machangu nao hawapo nyuma kutumia technolojia. Kilichobaki wazee waangalie watoto wao kila mara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...