Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa uzinduzi wa bia ya Pilsner Lager ambapo amesema Tanzania inajivunia kinywaji hicho ambacho kimetengenezwa kwa zao linalolimwa hapa nchini.
Mgeni rasmi Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa bia hiyo.Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Bi. Teddy Mapunda (wa pili Kulia) Mkurugenzi wa Masoko Bw. Ephraim Mafuru na Meneja wa Pilsner Lager Maurice Njowoka.
Sasa imezinduliwa rasmi.
Cheers to everybody.........Mfalme amerudi tena..... Imechujwa kwa ubaridi kukupa ladha safi kabisa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...