Viongozi wa dini mbalimbali, ndugu, jamaa na marafiki na wenyeji wa Kibaha wakiwa mazikoni
Majeneza yaliyobeba miili 12 ya marehemu
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza akiongoza maziko hayo kwa huzuni akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mh Gregory Teu na Mbunge wa viti maalumu toka mkoa wa Pwani Mh Zainabu Vullu
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria maziko hayo
Miili ya marehemu ikiwasili makaburini. Picha zote na mdau Chris Mfinanga
Huwa naifananisha sekta ya usafiri wa abiria Tanzania na debe lililochakaa na kuraruka raruka, ambalo hupaswi kulikanyaga mpaka ulazimike mnoo (na kulivuka ni lazima uvue viatu). Na ukifanikiwa kulivuka bila ya kuumia shukuru Mungu, ni bahati ya mtende. Kusafiri Tanzania sio starehe wakati kwa wenzetu ni starehe.
ReplyDeleteNdugu zangu, kama huna haja sana ya kusafiri acha, unajitia matatizoni tu. Waendeshaji wa sekta hii wote ni vichaa, hakuna anayekujali mtu kama wewe na mimi!
When is somebody going to take responsibility for all the deaths that occur with these buses? ...When?
ReplyDeleteWhen is it going to be enough that we keep losing innocent lives? ...When?
inasikitisha kwa kweli.kibaha kwanini wasifunge speed cameras maana ajali za mara kwa mara huwa zinatokea pande hizo....Sasa nani wa kusimamia haki zetu kama viongozi hawanioli hili suala!!
ReplyDeleteDhambi ikikomaa sana huzaa mauti ipo siku mliopewa mamlaka ya usafiri mtaadhbiwa kwa ukimywa wenu...
unachosema mdau wa kwanza nisawa lakini hiiyote tunachangia wote serikari asilimia 75 na sisi wananchi asilimia 25 hivyo tutaenderea kufa tu sijui tufanyeje
ReplyDeletesijapendezwa na quality ya majeneza waliyozikiwa wenzetu hawa. yaani ni mbao tu zimefanywa kuunganishwa. sidhani kama zimepigwa hata randa. na hapo unaweza ukauliza bei yake ukatajiwa ukabaki mdomo wazi. Enewei, wamezikwa.
ReplyDeleteRIP wenzetu nyinyi mliotangulia mbele za haki