Viongozi wa dini mbalimbali, ndugu, jamaa na marafiki na wenyeji wa Kibaha wakiwa mazikoni
 Majeneza yaliyobeba miili 12 ya marehemu 
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza akiongoza maziko hayo kwa huzuni akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mh Gregory  Teu na Mbunge wa viti maalumu toka mkoa wa Pwani Mh Zainabu Vullu
 Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria maziko hayo
Miili ya marehemu ikiwasili makaburini. Picha zote na mdau Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huwa naifananisha sekta ya usafiri wa abiria Tanzania na debe lililochakaa na kuraruka raruka, ambalo hupaswi kulikanyaga mpaka ulazimike mnoo (na kulivuka ni lazima uvue viatu). Na ukifanikiwa kulivuka bila ya kuumia shukuru Mungu, ni bahati ya mtende. Kusafiri Tanzania sio starehe wakati kwa wenzetu ni starehe.

    Ndugu zangu, kama huna haja sana ya kusafiri acha, unajitia matatizoni tu. Waendeshaji wa sekta hii wote ni vichaa, hakuna anayekujali mtu kama wewe na mimi!

    ReplyDelete
  2. When is somebody going to take responsibility for all the deaths that occur with these buses? ...When?
    When is it going to be enough that we keep losing innocent lives? ...When?

    ReplyDelete
  3. inasikitisha kwa kweli.kibaha kwanini wasifunge speed cameras maana ajali za mara kwa mara huwa zinatokea pande hizo....Sasa nani wa kusimamia haki zetu kama viongozi hawanioli hili suala!!
    Dhambi ikikomaa sana huzaa mauti ipo siku mliopewa mamlaka ya usafiri mtaadhbiwa kwa ukimywa wenu...

    ReplyDelete
  4. unachosema mdau wa kwanza nisawa lakini hiiyote tunachangia wote serikari asilimia 75 na sisi wananchi asilimia 25 hivyo tutaenderea kufa tu sijui tufanyeje

    ReplyDelete
  5. sijapendezwa na quality ya majeneza waliyozikiwa wenzetu hawa. yaani ni mbao tu zimefanywa kuunganishwa. sidhani kama zimepigwa hata randa. na hapo unaweza ukauliza bei yake ukatajiwa ukabaki mdomo wazi. Enewei, wamezikwa.

    RIP wenzetu nyinyi mliotangulia mbele za haki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...