WAZEE WA KAZI NA MHESHIMIWA NEEMA MGAYA MBUNGE WA VIJANA KUPITIA CCM ALIPOWATEMBELEA KATIKA OFISI ZAO LEO JIJINI LONDON ANBAKO BAADA YA KUJIONEA KAZI INAVYOPIGWA ALIIMWAGIA SIFA SERENGETI FREIGHT FORWARDERS NA KUIITA MKOMBOZI WA WATANZANIA WANAOTAKA KUPELEKA VITU NYUMBANI TOKA UINGEREZA
![]() | ||
|
WAZEE WAKAZI SIOMON LOUIS (MOHSIN) NA CHRI LUKOSI WAKIWA NA MHESHIMIWA NEEMA MGAYA MBUNGE WA VIJANA





Wazee wa Kazi nimesikia mnavyo chapa kazi kuwasaidia Watu hasa watanzania kuwapelekea mizigo yao nyumbani, sasa njoeni basi na huku Marekani mtusaidie maana tunawatamani na sisi pia.
ReplyDelete