Mh Mutinda akiwa na wenyeji wake Dr Julie Makani na Dr Soka wa kitengo cha siko seli Muhimbili.
Mh Balozi wa Kenya akipata maelezo kutoka kwa muuguzi wa kliniki ya siko seli Sr Kowero.
Mh balozi akimuangalia mtoto anayeishi na ugonjwa wa siko seli
Hapa akipata maelezo ya kina kutoka kwa mtaalamu wa magonjwa ya siko seli.
kutokana na taarifa nilizopata kutoka kwa mgonjwa mmoja wa sikocell anasema hakuna ward ya sikocell peke yao wagonjwa wanachanganywa na wagonjwa wengine wenye shida tafauti,hii kiafya sio sawa kabisa,sikocell ni ugonjwa mtu anazaliwa nao na upo ktk damu,vp unamchanganya na mgonjwa wa kuambukiza?naomba wadau wenye kufahamu zaidi wanielimishe,nimeomba nielimishwe musinijibu kwa njia mbaya mimi nataka kujua
ReplyDelete