Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Benk-TIB),Peter Noni (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Msaidizi Huduma na Elimu kwa walipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Simon Massawe juu ya utaratibu wa misamaha ya ushuru wa magari na pikipiki leo jijini Dar esalaam wakati alipotemblea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya miaka 50 ya uhuru katika viwanja vya Mnazi mmoja.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam
Home
Unlabelled
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Uwekezaji Tanzania atembelea maonyesho ya wazara ya fedha leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...