Asalaam alaykum

Kamera ya globu ya jamii ughaibuni ilimnasa msanii huyu wa kitasha akifanya vitu vyake kwa shabiki nambari wani wa bwawa la maini jijini Manchester hivi karibuni.

Mdau Ughaibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. tunajua kwamba liverpool ni timu la wazungu hilo.

    ReplyDelete
  2. ankali nae unajaribu kuwazingua watu kwa hiyo fotoshop yako hahaha kaazi kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...