
Mipango ya mazishi inaendelea vyema nyumbani kwao Mbezi Luis na misa ya mazishi itafanyika leo saa 7 mchana katika kanisa la muhimbili na baada ya hapo mazishi yatafanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Kwa mawasiliano tumia namba 0652 125858.
Naomba tushirikiane na familia katika msiba
huu mzito kwetu na familia kwa ujumla.
Nimeshtushwa sana na taarifa za kifo chako,Nasikitika hatukuwahi kuonana tangu tulipoachana Kigurunyembe Sekondari mwaka 1994. Wengi tutakukumbuka kwa ucheshi na upendo wako. RIP Ben.
ReplyDeleteDennis Londo
BEN R.I.P DAIMA UTAKUMBUKWA KWA WEMA WAKO SITAACHA KUKUOMBEA KATIKA SALA ZANGU SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU NAAMINI SIKU MOJA TUTAKUTAKA PARADISO PARAPANDA ITAKAPOLIA
ReplyDeleteBWANA ALITOA NA SASA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
CLARA-ARUSHA
RIP BEN, NIMEUMIA SANA SIKUPATA MUDA WA KUKUONA AU HATA KUKUAGA. ULIKUWA MWEMA NA MCHESHI MWENYE UPENDO SANA KWA RAFIKI NA NDUGU ZAKO, "GONE TOO SOON..." TUNAJIFUNZA TU KUWA WEMA NA KUPENDANA...
ReplyDeleteJOEL CHACHA-DAR ES SALAAM