Marehemu Upile Msamati
Prof Boniface C. Msamati na Bi Felistas Msamati wa Dar es salaam wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa  Upile Msamati kilichotokea jijini London Uingereza taraehe 14/ 10/ 2011.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Jet Lumo Dsm. 
Mazishi yatafanyika mara baada ya taratibu zote kukamilika. 
Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote walipo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MY GOD, POLENI SANA WAFIWA,
    JAMANI NAULIZA TU, KAMA ATAKUWA NI YULE NINAYEMFAHAMU AMA LA, NANCY TAUSI, THERESA TAUSI AMA GEORGINA, NI YULE MJOMBA AMA! MIMI NI LETTY,

    ReplyDelete
  2. POLENI SANA WAFIWA, KAKA GODY MSAMATI HUYU NDIYE YULE NDUGU YAKO NINAULIZIA JAMANI POLENI SANA WAPENDWA MUNGU AWATIE NGUVU. AMENIPOTEA KIDOGO, LAKINI SURA KAMA INAKUJA VILE,

    MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...