Home
Unlabelled
msimamo wa ligi kuu ya vodacom hadi dakika hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kinachobadilika ni timu za chini tu mbili za juu ni zile za mwaka arobaini
ReplyDeleteSidhani kama Simba wana Red Card Moja (1) tu katika kumbukumbu zangu nadhani wameshawahi kupata Kadi Nyekundu mara mbili, nadhani ni Arusha na Mwanza kama sikosei, nadhani ni hivyo Wambura atueleweshe vizuri siyo kuweka vitu kishabiki, hapa tunajaribu kuweka mambo sawa ok Ankal.
ReplyDeleteMdau,
H.A.M. (Abudhabi UAE) EMAIL:shark_ham@yahoo.co.uk
Hongera kitengo cha IT..
ReplyDeleteMichuzi, wambie TFF warekebishe mahesabu yao kwenye jumla ya P,W, na D. Maana inapotosha kwamba hadi sasa imechezwa michezo 77
ReplyDeleteUnakuwaje na average ya yellow cards 3.5 na red cards 0.3 halafu avarage ya zote inakuwa 3.8?
ReplyDeleteManchester City hureeeeeeeeeee! sory wajameni,Simba hureeeeeeeee!!!
ReplyDeletenaomba mnifahamishe hizo herufi zina maana gani ,mi si mjuzi sana wa michezo ila sitaki kuwa nyuma saana ,walau nipate pointi za kuongea na wenzangu walau kidogo.Nifafanulieni herufi P,W,D,L,GF,GA,GD zina maana gani?
ReplyDeleteKwa wale wenzangu wa hesabu za SET, hapa naona nimeshindwa kuwa practicle na zile intersection na union , I can undestand kwa kuwa timu haiwezi kucheza yenyewe kwa yenyewe timu 14 * michezo 11 gawanya kwa mbili ni idadi ya mechi..i.e 11*14/2=77(sawa kabisa)
ReplyDeletena sidhani kama wins nazo zinatakiwa kugawanywa kwa mbili so wins zinatakiwa kuwa 50,
Draws.. count ya draw iwe total/2 kwani mkicheza wawili mkatoa draw ni mechi 1 lakini draw ni mbili so 27 ni sawa
Loose: iwe ni kama kwenye wins hakuna sababu ya kugawanya kwa mbili so loose ni 50.
So mahesabu ya mwisho yawe
P*2=wins+(d*2)+L
154=50+54+50
WE SAID HAPO JUU ZERO KABISA!!!!
ReplyDeleteSASA HUJAELEWA NINI WAKATI MICHEZO AMBAYO IMECHEZWA SO FAR NI 77, SIMBA NA YANGA UTAKUWA NI MCHEZO WA 78 TOKA LIGI IANZE MWEZI WA NANE MWAKA HUU. UNAONEKASNA SIO MSHABIKI WA MPIRA ,JARIBU MIELEKA.
toto ilitakiwa awe no.9 na lyon 8 ,maana lyon anapoints nyingi zaidi ya toto hata kama toto gd yake ni kubwa, but cha kwanza kwenye ranking huwa ni points ,then gd