Katibu wa NEC ya CCM Nape Nnauye akiongea na viongozi wa CCM Houston,Texas,Nchini Marekani wa tatu toka kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu,Sixtus Mapunda
Katibu wa NEC ya CCM,Nape Nnauye(wa nne toka shoto) pamoja na viongozi wa Halmahauri kuu ya Tawi la Houston wakipata picha ya pamoja watatu toka kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu,Sixtus Mapunda
Katibu wa NEC ya CCM,Nape Nnauye(wa pili toka kushoto) pamoja na Katibu Masidizi Mkuu,Sixtus Mapunda(kulia) wakipiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM,Houston,Texas Nchini Marekani
Hii blog ya jamii kazi yake nini mimi jana nimetoa maoni na nikauliza swali ili wadau wanisaidie hapo kwenye picha ya Nape na hao makuwadi wa CCM kuhusu ccm UK na CCM USA ,naona Michuzi hujaiweka sijui tatizo ni nini ndugu yangu.
ReplyDelete