Transforma iliyopo ndani ya uzio wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Imeripuka mchana wa leo na kufanya wafanyakazi wa Shirika hilo kukimbia huku wengine wakijaribu kufanya utaratibu wa kuuzima moto uliokuwa ukiwaka kwenye Transfoma hilo.Hii ni mara ya pili kulipuka kwa Transfoma hilo baada ya juzi jumanne kulipuka na kuwahiwa kuzimwa.
Baadhi ya ofisi za TBC, ambazo ziko jirani na transforma hilo zimeungua moto.Kikosi cha Zima Moto Kama kawaida yake kilifika eneo la tukio kwa kuchelewa na kukuta baadhi ya sehemu zishaungua kwa moto huo.





ukitaka kuzima moto kwa fire extinguisher, AIM AT THE BASE, sio juu kama hao jamaa!
ReplyDeleteTanzania zimamoto is a joke! Lini waliwahi kuzima moto?
ReplyDeleteTransforma litawakaje wakati hakuna Umeme? ahem.
ReplyDeleteSASA KAMA MNANUNUA CHINA HIZO TRNSFORMER MNATEGEMEA NINI? MARA MKO SASA BRAZIL UFISADI UKO PALE PALE NA HAO IWE KAMA DOWANS SAWA KABISA KWANINI MNAWAOGOPA WAZUNGU? KWANINI TWA WAONA KAMA KITUO CHA POLISI KWA SABABU HAMUWEZI KUFISADI KAMA WAO WAKICHUKUA JUKUMU HILO
ReplyDeleteDuu! Hii ni hatari. Maana hao wanaozima huo moto bahati yao, wangenaswa na wao. Moto wa umeme wanazima kwa maji tena wakiwa karibu kabisa na transfoma bovu
ReplyDeleteANKO MICHU TUELEZE VIZURI HILO TRANSFORMER NI JIPYA AU SECOND HAND KAMA KAWAIDA YETU? BASI KAMA NI JIPYA LAZIMA NI MADE IN CHINA
ReplyDelete