Nyumba inauzwa mjini Morogoro. Ina  3 bedrooms, 1 self container, Sebule, Jiko, Na Toilet. Pia ina eneo la kutosha, na ipo barabarani. Ipo maeneo ya Kihonda-Bima. Bei sh 28 millioni, ila maelewano yapo. Kwa mawasiliano jinsi ya kuiona piga/sms +255 762 560088.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. is this a house or kiwanja? na hiyo bei! lord have mercy!

    ReplyDelete
  2. duh kaka michuzi hicho ni kiwanja tu, nyumba imejengwa miaka 20 iliyopita imechoka hivyo???? punguza bei maana unauza kiwanja tu.
    by wanchope-sweden

    ReplyDelete
  3. Have mercy Indeed,,,mdau wa 1st!!
    Its redicoulous...
    Mdau MISSISSIPPI

    ReplyDelete
  4. CC twaliita boma na sio nyumba kwani haijakamilika kuitwa nyumba

    ReplyDelete
  5. Kaka Michuuzi hiyo siyo nyumba ni Pagala au MG hizo mnaita nyumba?

    ReplyDelete
  6. KWELI KAKA MICHUZI ATAKAYENUNUA HAPO HAWEZI KUEZEKA KWENYE HIYO NYUMBA BALI LAZIMA AIANGUSHE CHINI AJENGE MPYA. TAFADHALI BADILISHA KAULI SEMA KIWANJA KINAUZWA KWA VILE PIA KUNA GHARAMA KUBWA ZA KUBOMOA HILO PAGALI

    ReplyDelete
  7. HAPO KIBOKO! HUYO MUUZAJI ANGESEMA ANAUZA KIWANJA KILICHOKUWA NA MWANZO WA WA KUJENGA NYUMBA

    ReplyDelete
  8. hicho kichwa cha habari vipi? nani anauza nini? mtu anauza au nyumba inauza...? teh teh teh hapa lugha gongana vibaya....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...