Home
Unlabelled
HAKUNAGA BY SUMA LEE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michu michu michuzi big up man, hii imetulia kilaini ngoma hii thanks man kwa kutuwekea imenikuna kishenzi na najiuliza je kweli mtu unaweza kupata katika karne hii mpenzi wa aina hii kweli yupo kama yupo jamani jitokeze uwe wangu. mdau london
ReplyDeletenice tune man!
ReplyDeleteOya hii ngoma nikali sana Imenibamba mbaya... sasa tulioko nje ya border tunapata vp mzigo huu maana. Hili ngoma nai feel mbaya.
ReplyDeleteTupe majibu asee kupitia michuzi blog.....
Kimoja tu kimeniudhi. Kuweka vuvuzela yenye bendera ya Afrika Kusini.
ReplyDeleteUZALENDO JAMANI!!
jamani huu wimbo sichoki kuusikiliza yaani ni mzuri sijawahi ona kweli tz kila leo wanatokea wakali wa nyimbo zinazogusa hisia za mwanadamu yaani sijawahi kupenda wimbo kama huu na mzuri sana ila kitu kimoja video haindani kabisa na huu wimbo kama anaweza kurekebisha ashuti video ingine big up sumalee kazi nzuri sana imetulia haina majoriti ubarikiwe kwakutukonga nyayo zetu
ReplyDelete