Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya bidhaa mbalimbali za kilimo za Tanzania na jarida, Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa mazao ya kilimo cha Embrapa kilichopo, Brasilia, Bw. Francisco Basilio wakati alipotembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil. Picha na Mdau Hilary Bujiku wa PMO
Home
Unlabelled
pinda akiendelea na ziara ya kikazi Brazil
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...