Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi mkuu wa Commonwealth Business forum Dkt.Mohan Kaul mjini Perth, Australia ambapo anahudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu mtendaji wa kampuni ya kuzalisha mafuta ya Shell Bwana Guy Outen jijini Perth Australia.
Picha na Freddy Maro.
Picha na Freddy Maro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...