Malkia Elizabeth II wa Uingereza na Mumewe Philip Wakiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Kikwete, Mama Salma na wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola katika dhifa aliyoiandaa kwaajili ya viongozi hao wanaohudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Perth,Australia
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Kenya,Mh. Mwai Kibaki walipokutana kwa mazungumzo mjini Perth wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Madola unaoendelea mjini Perth, Australia
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya,Mh. Mwai Kibaki
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisalimiana na Waziri Mkuu wa Australiua Julia Gillard mjini Perth wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Madola unaoendelea mjini Perth, Australia.(picha na Freddy Maro)
Mbona Kibaki kaweka kibendera cha nchi yake mezani?au ni ubalozi wa Nyao?Watani bwana
ReplyDeleteDavid V