Harusi iliyofanyika katika Msikiti wa Masjid Tayyiba jijini Amsterdam nchini Holland. Bwana harusi ni ndugu Habibu na bi harusi ni Monica.kwa mapicha zaidi http://magangaone.blogspot.com
-- 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera ndugu Habibu Mnyizimungu akupe baraka na iwe ndowa yene furaha long time mbona hujibu email siku hizi? (Amanzi in Dar es alam minazi mirefu)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...