Redio za Tanzania zinasikika online sasa kwa wingi. Hizi ni baadhi tu ya zinazopatikana hadi sasa (bofya jina la redio kwenda kwenye ukurasa wenye redio husika):
- Tanzania Choice FM
- Tanzania Clouds FM
- Tanzania Country FM
- Tanzania Ebony FM
- Tanzania Jambo Radio
- Tanzania PRIDE FM
- Tanzania Qiblaten
- Tanzania Radio Maria
- Tanzania TBC FM 94.6
- Tanzania TBC Taifa
- Tanzania Times 100.5 FM
- Tanzania Radio Safina
- Tanzania Radio Sauti Ya Injili, Moshi
Pia zipo redio za Kiswahili za Kimataifa kama vile BBC Swahili, VOA-Sauti ya Amerika, Sauti ya Ujerumani-DW, redio za Kenya, Uganda pamoja na pleya zenye nyimbo za dini. Zipate zote: www.wavuti.com/ audios.html
Mbona Sauti ya Zanzibar hamjaweka, lahau mwatubagua nanna hiyo abhaa!!!
ReplyDeletequality ya tbc taifa bado sana!
ReplyDeleteasanteni.
ReplyDeletezote ziko feki, too much wanna bees (fleva artists na presenters). Zinaboa sana! Tunataka nyimbo zetu za nyumbani sio za kuiga (fleva).
ReplyDeleteHongereni Redio Qiblaten, sasa tutapata mawaidha, tumechoka kusikiliza ngoma, tupate maneno ya mungu kutoka Tanzania. keep it up
ReplyDelete