Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka (katikati, nguo nyekundu), Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu (wa nne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa benki saba zilizosaini makubaliano ya ushirikiano na NHC ambapo wananchi sasa watakuwa na fursa ya kujenga nyumba kwa njia ya mikopo (mortgage) badala ya huu mtindo uliopo wa kujenga hadi ghorofa ishirini kwa kutumia keshi. Kwa habari kamili na mapicha ya kumwaga BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sawa wazo zuri morgage, lakini inabidi kuwa waangalifu maana ulaya morgageninawatoa watu roho.

    ReplyDelete
  2. Ulaya watu hawajengi nyumba kwa kutumia mortgage. Bali wananunua nyumba ambayo tayari imeshajengwa kwa kutumia mortgage. Bei ninazoziona za nyumba TZ zinapita za USA.

    ReplyDelete
  3. Kweli unasema kweli.Bei ya Tanzania inapita hata ya huku UK.hizo zitakuwa za mafisadi sio ndugu zangu walala hoi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...