Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna Tibaijuka (katikati, nguo nyekundu), Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu (wa nne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa benki saba zilizosaini makubaliano ya ushirikiano na NHC ambapo wananchi sasa watakuwa na fursa ya kujenga nyumba kwa njia ya mikopo (mortgage) badala ya huu mtindo uliopo wa kujenga hadi ghorofa ishirini kwa kutumia keshi. Kwa habari kamili na mapicha ya kumwaga BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
shirika la nyumba la taifa laweka historia kwa kuanzisha mfumo wa mikopo ya nyumba likishirikiana na mabenki saba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Sawa wazo zuri morgage, lakini inabidi kuwa waangalifu maana ulaya morgageninawatoa watu roho.
ReplyDeleteUlaya watu hawajengi nyumba kwa kutumia mortgage. Bali wananunua nyumba ambayo tayari imeshajengwa kwa kutumia mortgage. Bei ninazoziona za nyumba TZ zinapita za USA.
ReplyDeleteKweli unasema kweli.Bei ya Tanzania inapita hata ya huku UK.hizo zitakuwa za mafisadi sio ndugu zangu walala hoi.
ReplyDelete