Home
Unlabelled
stephen na salma wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni sana Steve na Salma. Inshaallah mola awajalie maisha marefu kwenye ndoa yenu.
ReplyDeleteKaskasy's friend,Yokohama.
Du kweli siku hazigandi..Toka enzi zile 1999.....Mmekuwa mfano kwa vijana..Kweli moyo hupenda sehemu moja tu..Hongera sana Stephen, hongera sana Salma
ReplyDeleteHongera sana Kaka Steve, mmependeza sana, Mungu ailinde ndoa yenu ...
ReplyDeleteHongera sana Kijana. Mlipendeza. Mungu awaongoze, muwe na maisha marefu yenye AFYA NA MAENDELEO MAKUBWA.
ReplyDeleteWASHINGTON DC
Kwakweli ndoa ni jambo la kheri na tena ni baraka kubwa katika historia ya mwanadamu, hongereni sana Mungu awabariki na kuwajaria maisha mema yenye heri na baraka.
ReplyDeleteHongera sana maharusi!!
ReplyDeleteMfano wa kuigwa!!
Vincent, Columbus, OH
hongereni sana,
ReplyDeleteAmbele Mwafula,Arusha