Mdau Stephen Kasambo na mai waifu wake  Salma Mkusa na wapambe wao wakiwa katika mnuso ukumbi wa Istana jijini Dar es salaam baada ya kumeremeta katika kanisa  la Roman catholic la  Sinza
 Maharusi baada ya kumeremeta
 maharusi, wapambe na wazazi
 Yummmmmy....
Maharusi na wapambe na ndugu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongereni sana Steve na Salma. Inshaallah mola awajalie maisha marefu kwenye ndoa yenu.

    Kaskasy's friend,Yokohama.

    ReplyDelete
  2. Du kweli siku hazigandi..Toka enzi zile 1999.....Mmekuwa mfano kwa vijana..Kweli moyo hupenda sehemu moja tu..Hongera sana Stephen, hongera sana Salma

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Kaka Steve, mmependeza sana, Mungu ailinde ndoa yenu ...

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Kijana. Mlipendeza. Mungu awaongoze, muwe na maisha marefu yenye AFYA NA MAENDELEO MAKUBWA.
    WASHINGTON DC

    ReplyDelete
  5. Kwakweli ndoa ni jambo la kheri na tena ni baraka kubwa katika historia ya mwanadamu, hongereni sana Mungu awabariki na kuwajaria maisha mema yenye heri na baraka.

    ReplyDelete
  6. Vincent ErnestOctober 30, 2011

    Hongera sana maharusi!!
    Mfano wa kuigwa!!
    Vincent, Columbus, OH

    ReplyDelete
  7. ambele mwafulaOctober 31, 2011

    hongereni sana,

    Ambele Mwafula,Arusha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...