Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali Bw. Ludovick Utouh amewataka viongazi na watumishi ambao wana pata furusa ya kupata mafunzo wasiwe wachoyo wa elimu waliyopata kwa ku wafundisha walio chini yao wanapokuwa wamerudi katika sehemu zao za kazi baada ya mafunzo. Hayo aliyasema wakati wa kufunga mafunzo ya siku sita kwa watendaji Wizara na Mikoa ambao wanashughulika na usimamizi na ukaguzi. Mafunzo hayo yalilenga uwezeshiji na utumiaji teknolojia ya ya habari katika kuleta ufanisi mzuri pamoja na kweda na wakati katika karne ya teknolojia. Mafunzo hayo yalifanyika katika hoteli ya White sands hotel Habari na picha na Chris Mfinanga
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali Bw. Ludovick Utouh
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali Bw. Ludovick Utouh akimkabidhi cheti mkaguzi mkazi katika ofisi ya ya waziri mkuu Grace Mugyabuso
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali Bw. Ludovick Utouh akimkabidhi cheti mshiriki wa mafuzo hayo Bi.,Sarah Ruben ambaye ni ofisa habari katika ofisi ya Mdhiti na Mkaguzi Mkuu wa fedha za serikali
Ufisadi ni kama Pumu.. Ugonjwa wa kurithi.
ReplyDeleteMdogo akianza kazi ofisi ya Umma, anapokataa kupokea mgao wa rushwa iliyopatikana kwenye idara yake.. lazima atengenezewe Zengwe la kumuondoa.
Hivyo bila ya kupenda anajikuta yeye pia kisha nasa kwenye network ua Ulaji pesa zetu walipa kodi.
Safari bado ni ndefu sana kukomesha Ufisadi.