.
Rais wa TAMCO na Ujumbe wake akikabidhi fedha tasilimu $4,000 kwa Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh.Balozi Seif Ali Idd kwa ajili ya Wahanga wa meli ya MV SPICE
Mh.Balozi Seif Ali Idd,Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar akishikana mkono na Mtunza hazina wa TAMCO Seif Mohamed kama ishara ya kutoa shukrani kwa niaba ya Wahanga wa ajali ya meli ya MV SPICE.
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akipata picha ya pamoja na Uongozi wa TAMCO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...