Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel (wa kwanza kushoto) akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana.
 Vodacom Tanzia 2011 Salha Israel  (aliye vaa Nguo za Njano kulia) akiwa katika Mazoezi  ya nguvu kabisa wakati wa maandalizi ya shindano la Miss World 2011.
 Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel (wa Pili kutoka kulia) akiwa anapiga Chiazi  na wenzake .. katika safari  ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia 2011.
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel (katikati) akifurahia kwa Shangwe wakati wa  Highland Games kuelekea kinyang'anyiro cha kumpata Mrembo wa Dunia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kwahiyo wazazi akiwemo baba yake anaangalia mwanawe anavoiwakilisha nnchi yaki??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...