MZEE WA KAZI CHRIS LUKOSI AKIFAFANUA JAMBO KWA KATIBI MWENEZI WA TANZANIA ASSOCIATION WA READING OFISINI KWAKE. HUYO NI MMOJA WA WAGENI WENGI WANAOWATEMBELEA WAZEE WA KASI SIKU HIZI TOKA WABORESHE HUDUMA NA BEI YA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA UINGEREZA KWENDA BONGO NA KWINGINEKO
MZEE WA KAZI  MOHSINI NA KATIBU WA TA READING
 MZEE WA KAZI 
 WAZEE WA KAZI NA WAGENI WAO OFISINI
 WAZEE WA KAZI WAKIWA NA WAGENI WAO NJE YA OFISI NA GODOWN LAO
WAGENI WA SERENGETI WAKIFURAHIA JAMBO NJE YA OFISI ZA WAZEE WA KAZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wazee wa kazi wanapiga picha
    wazee wa kazi wanakaribisha mgeni
    wazee wa kazi hehe kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. Wageni wamiminika it means wengi yaani msafara. Mmmh kiswahili nacho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...