Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwaonyesha baadhi ya mabalozi mfano wa Ngorongoro, kabla ujumbe huo haujaanza safari ya kuingia kwenye bonde hilo kuangalia wanyama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankol....just to clarify things here....NGORONGORO is not a HIFADHI...but rather A MAMLAKA.....hope mm pia sijakosea hapo...the difference being a NATIONAL PARK and A CONSERVATION AREA.
    Naomba nisahihishwe kama elimu niliyonayo katika hili si sahihi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...