Home
Unlabelled
Just In: Waziri mkuu amjulia hali Mh zitto kabwe leo hospitali ya Muhimbili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole saaaana kaka yangu Zitto. Mungu yuko nawe, atakutia nguvu, atakushika kwa mkono wake wa kuume. Usiogope, utapona kwa JINA LA YESU.
ReplyDeleteI PRAY FOR YOU PSALM 91.
Zito pole sana kaka,pata matibabu mola atakujaalia,utapona haraka, utaendelea na shughuli zako kama kawaida. Jamani tumuombee Zito Kabwe apone haraka.
ReplyDeletePole mheshimiwa, i wish u quick recovery
ReplyDeletePole sana Mheshimiwa Zitto.Tunakuombea kupona haraka. Afya yako njema ni afya njema kwa nchi yetu pia.
ReplyDeleteGLK
pole sana muheshimiwa Zitto, Mwenyezi Mungu atakuafu kwani tunakuhitaji sana katika Taifa letu
ReplyDeleteZitto, pole sana mkubwa. Kama sikosei, hii ni mara ya pili ndani ya miaka miwili unazidiwa na malaria hadi kufikia hatua ya kulazawa. Ni kwa nini kaka? Ninaamini hali hiyo inazuilika, jitahidi kuzingatia taratibu za kujihadhari na malaria na kuwa unaangalia afya yako mara kwa mara. All in all, pole sana na ninaungana na Watanzania wanaokuombea upone haraka ili uendelee na lile picha ulilolisitisha kwa sasa.
ReplyDeleteeeh!.. huyo Mh.Zitto mbona hali inaonekana tete jamani?
ReplyDeleteGet well soon!
ReplyDeleteGet well soon!Taifa linakuhitaji!
ReplyDeleteMHE. ZITTO KABWE(MB)
ReplyDeleteCCM UK IMEPOKEA KWA HUZUNI HABARI ZA KUUGUA NA KUTOJIWEZA KWAKO KIAFYA NA TUNAKUOMBEA TIBA MAKINI NA KUPONA KWA HARAKA.
MAINA OWINO.
CCM UK
CCM UK, hahha pole kaka utapona tu! chadema hoyeeeeeeeeeee
ReplyDeleteZito Mungu akupe afya kaka na upone haraka
ReplyDeletepole mkuu!!!nakutakia kupona haraka.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu akujalie afya njema.Akubali tiba za madakitari.
ReplyDeleteNakubali kauli zako zilizonyoka.
POle tupo pamoja kwa sala Mola wetu tukikuombea
Mbogolo
0758950950
CHADEMA UK tumepokea kwa mshtuko mkubwa habari hii na tunakuombea upone haraka na shetani ashindwe, tuwe nawe tena katika chama chetu. Chadema oyeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteAllahu jamiina bil afyat wassalama wahaqiqina bitaq'wa walistiqama waidhina bil mujibat nnadama inaka samiu duaah.inshaallah mungu akuafu na utapona inshaallah Hembe letu Zito Zubeir Kabwe.
ReplyDeleteHashim K
Pole sana lakini malaria gani hiyo yakutibiwa India?
ReplyDeleteWe Newton:Sat Oct 29,02:33:00 toa tu salaam kawaida. Hakuna cha Chadema UK wala nini.Usiige hadi maneno. Nyura shamshafu, meku.
ReplyDeletemjomba Malewo.