Maofisa wa jeshi la Polisi mkoani Ruvuma,wakimuhoji raia wa Tanzania mwenye asili ya Somalia,Harbi Ismail Katoto (kulia) nje ya kituo kidogo cha Polisi standi kuu ya mabasi mjini songea baada ya kumtilia mashaka na uraia wake kutokana na tishio la mashambulizi la kikundi cha al - shabab cha somalia kuanza kuyalipua baadhi ya maeneo katika nchi jirani ya kenya na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha yao hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mwacheni huyo kijana wa watu hamna lolote hapo munalolifanya ila kumpotezea mda huyo kijana

    mukiambiwa sehemu kuna mwizi hamufuatilii hasa, na huyo ashabab munaemtafuta akiwa wa kweli hasa nyinyi wenyewe mutakwenda mbio hamna uzoefu wa hayo masuala nyinyi kwenu ni rushwa tu na kusumbua watu mukiona cha moto hapo nyote mutakwenda mbio ...chenzi type

    ReplyDelete
  2. mambo ya "profiling" (ie. kutokana na accent, ngozi,sura yako nk)ni moja ya sheria za hovyo wageni tunaoishi ughaibuni tunayoyapinga kufanyiwa kila siku.

    ReplyDelete
  3. utazani hata kusoma wanajua !

    ReplyDelete
  4. ubaguziiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...