Maofisa wa jeshi la Polisi mkoani Ruvuma,wakimuhoji raia wa Tanzania mwenye asili ya Somalia,Harbi Ismail Katoto (kulia) nje ya kituo kidogo cha Polisi standi kuu ya mabasi mjini songea baada ya kumtilia mashaka na uraia wake kutokana na tishio la mashambulizi la kikundi cha al - shabab cha somalia kuanza kuyalipua baadhi ya maeneo katika nchi jirani ya kenya na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha yao hivi karibuni
Home
Unlabelled
ULINZI WAIMARISHWA RUVUMA KWA TAHADHALI YA AL_SHABAB
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mwacheni huyo kijana wa watu hamna lolote hapo munalolifanya ila kumpotezea mda huyo kijana
ReplyDeletemukiambiwa sehemu kuna mwizi hamufuatilii hasa, na huyo ashabab munaemtafuta akiwa wa kweli hasa nyinyi wenyewe mutakwenda mbio hamna uzoefu wa hayo masuala nyinyi kwenu ni rushwa tu na kusumbua watu mukiona cha moto hapo nyote mutakwenda mbio ...chenzi type
mambo ya "profiling" (ie. kutokana na accent, ngozi,sura yako nk)ni moja ya sheria za hovyo wageni tunaoishi ughaibuni tunayoyapinga kufanyiwa kila siku.
ReplyDeleteutazani hata kusoma wanajua !
ReplyDeleteubaguziiiiiiiiiiiii
ReplyDelete