Mama mitindo Asya Idarous Khamsin akipita mbele ya wadau walio jitokeza kwenye show  iliyofanyika Jumamosi November 19,2011 mjini Houston,Texas,Nchini Marekani.
Model akipita kwa madaha mbele ya mashabiki wa mitindo
Model akipita mbele ya wadau
Model akiwa katika pozi
Model akionyesha vazi ubunifu wa mama mitindo Asya Idarous Khamsin
Model akitabasamu na huku akipita mbele ya mashabiki wa mitindo.
Juu na chini ni Models wakipita kwa pamoja mbele ya mashabiki wa mitindo
Models wakiwa pamoja na mama mitindo Asya Idarous Khamsin ambaye siku ya November 26,2011 Jumamosi ya Nov 26,2011 atakua Maryland akishirikiana na mwanamitindo mwingine kutoka Tanzania Farha Sultan ambao wataenda sambamba na Mama aliyebobea kwenye Khanga Ma winny ambao wote kwa pamoja watakua bege kwa bega na Peter Walden.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Assalam Alaykum, Ustadhat ,Hajjat Awlaa,Sheikhat Mama Asya Iadrous!!!!!.

    Mashallah,,,, khabar ya kazi zako za sanaa ni nzito!,

    Hivi ktk nasba /ukoo wako hakuna Binti yeyote aliye kuwa huru?

    Sio ktk zile za kuruka ukuta kumpata binti,

    Nataka nije KI SHERIA INSHALLAH.!!!!!

    ReplyDelete
  2. Hongera mama wa Mitindo. Ila hiyo RED na NJANO ni kama Yanga na simba! Haviendani kabisaaaa!

    ReplyDelete
  3. HII SHUGHULI YA NOVEMBER 26,2011 SIKU YA JUMAMOSI YA NOV 26, 2011 ITAKAYOFANYIKA MARYLAND IMEPANGWA KUFANYIKA SAA NGAPI, UKUMBI GANI ILI TUPATE KUMPA TAFU SHANGAZI YETU ASYA IDAROUS KHAMSINI. michuzi weka ratiba mapema ili tujipange vizuri. SHUKURANI ZA DHATI NATANGULIZA KWAKO MJOMBA MICHUZI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...