Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AFADHALI SANA. JE NARUHUSIWA KULETA VIFAA VA KITANZANIA KAMA MAONYESHO SIKU YA SHEREHE?.

    JESCA KONDE.
    BRADFORD.

    ReplyDelete
  2. MIAKA 50 YA UHURU!!!

    TUMETHUBUTU, TUMEWEZA TUNASONGA MBELE.

    Ni vizuri kuthamini jitihada na hatua yeyote tuliyofikia licha ya changamoto zilizopo, badala ya kubeza!!!

    Mwisho ningependa niombe wanajumuia ya CCM-UK na wanajumuia TZ-Northampot mumruhusu dada Jesca Konde wa Bradford atoe sera zake za vifaa vyake vya ki Tanzania,ili iwe nafasi ya kutathimini mchango wa kazi yake, daima tunaamini na kuthamini kazi za mikono yetu!!!

    Mdau,

    Mokange
    Dar Es Salaam.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...