Umojaphone.com IS STILL THE CHEAPEST HIGH QUALITY VOICE CALL PROVIDER TO TANZANIA. COMPARE OUR PRICE WITH OTHER PROVIDERS:

UmojaPhone       $0.179/min                                                $10/56min

Call Tanzania            $0.229/min                                                              $10/44min

WiseCalling             $0.240/min                                                                  $10/42min

Rebtel                         $0.249/min                                                                $10/40min

JoinVIP                      $0.254/min                                                                $10/39min

Skype                          $0.320/min                                                                $10/31min

AT&T                         $0.480/min                                                                $10/21min

Verizon                       $1.99/min                                                                   $10/5min

JOIN THOUSANDS OF FELLOW TANZANIANS WHO ARE ENJOYING CALLING TO TANZANIA.
*THIS COMPARISON IS FOR THE HIGEST CALL QUALITY PROVIDED 

REGISTER TODAY AT https://www.umojaphones.com/estore/RegisterHS.aspx?s=0.00 AND GET FREE TEST CALL.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Here is the cheapest:
    CheapVoip $0.16/min $10/62min
    http://www.cheapvoip.com/en/calling-rates.html#lett

    Mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  2. Na actionvoip je, ukilinganisha na hiyo?

    ReplyDelete
  3. TOO EXPENSIVE CALL PER MINUTE. UNTIL RATES PER MINUTE IS CUT, AND THESE SCUM STOP LYING TO CUSTOMER ABOUT THE MINUTES AVAILABLE PER CARD/SUBSCRIPTION, NO ONE WILL USE THEIR SERVICE. CALLS TO GHANA, NIGERIA, UGANDA, KENYA PAKISTAN, SOUTH AFRICA ETC ARE VERY CHEAP WHEN CALLING FROM ABROAD COMPARED TO TANZANIA. TCRA SHOULD REGULATE THESE MOBILE PHONE COMPANIES RIPPING OFF PEOPLE.
    I BUY A SIMCARD FOR £10 AND CALL TANZANIA FOR 100 MINUTES. THAT IS IT!NO CHEATING; CLEAR CALL QUALITY. ALL OTHER PHONE CARDS CHEAT!

    ReplyDelete
  4. Kwa kupiga tanzania actionvoip ni more expensive than cheapvoip. Usichanganye malipo kwa dollar na malipo kwa euro.

    ReplyDelete
  5. Bei ya kupiga simu inategemea idadi ya wateja na miundombinu ya mawasiliano ya nchi. Nigeria, India, Pakistan ni rahisi kwa sababu nilizotaja mwanzo. Zogo lote hilo ni kuwa waTZ ughaibuni kote hawafaki hata kali 2, hiyo ni UK, USA na kwengineko.

    ReplyDelete
  6. nenda phonecards4all.com kuna kadi mpaka $0.06/minute acheni kudanganya watu.

    ReplyDelete
  7. Stunt calls ni 0.08€ ambayo ni sawa na 0.11USD.Link ni http://stuntcalls.com/rates/#letter-T
    10USD unapata dk 90

    ReplyDelete
  8. yaani mi nnaona kizunguzungu tu yote mnayoongea hapo sielewi hata kimoja,kwanza mnisaidie hizo airtime mnanunuaje mwanzo,ni cash ama mnatumia card nnaweza pata mimi nnaishi UAE,nnafanyaje msaada tutani maana pesa zangu nyingi zinaishia Etisalat ni ghali kama kitugani.

    ReplyDelete
  9. Nimeshajaribu calling cards nyingi na kubadili mara kawa mara kwa sababu ya bei zao zisizoelekweka, and haya makampuni mengi nimeya jaribu.Tatizo ni kuwa unaweza kuona bei rahisi sasa nunua ujaribu kupiga, kwanza kupata simu ni kazi na hata ukiipata kusikilizana ni shughuli nyingine, wakati huohuo wanakuwa wameshalamba hela yako. Kwa hiyo kuna swala la cheap rates na service quality ni vitu vya kuangalia. Kama wewe unavumialia kujaribu mara kadhaa hatamsiposilizana unakata na kuanza tena basi hizo za bei ya chini kabisa zinakufaa.Ni bora kujaribu mwenyewe ukajionea kama wanachosema ni kweli ndio huduma wanayotoa.

    ReplyDelete
  10. Ngudu wa UAE jaribu watumie email watu wa umoja phone wanaweza kukusaidia. Unaweza kuwatumia email kutoka kwenye web site yao.

    ReplyDelete
  11. Zote sawa tu

    ReplyDelete
  12. There are so many options out there. You can also call to Tanzania for cheap and low rates using http://www.rogersphonecards.com/ try yourself. Do not be dragged by the sweet ads. Kila la heri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...