Sisi wana Familia ya Marehemu Mzee Wetu DYSON A.BUKUKU,leo November 13/2011.
tunamkumbuka BABA YETU MPENDWA MZEE DYSON A.BUKUKU aliyetwaliwa November 13/2009 na leo hii anatimiza MIAKA miwili kamili.

Anakumbukwa na Mke wake, Caroline Bukuku, watoto zake, Andrew, Pamela, Samuel, Debora, Albert, Herbert. Pia anakumbukwa na wake zake, Dr Albert Ulimali, Mercy Makame, Jackquline Madatta na Wajukuu zake Fiona,Ian na Caroline.

Note: Tunapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki kujumuika nasi katika kumbukumbu ya Mzee wetu,ambapo leo kutakuwa na IBADA na baada ya Ibada tunaelekea nyumbani Mbezi Beach, Mtaa wa kilongawima kwa mawasiliano zaidi wasiliana na ndugu: 
Albert Bukuku no: +0713 565 431 
pia 
Seoul, South Korea  kutakuwa na Ibada na baada ya Ibada tutajumuika kwa pamoja mawasiliano:
Andrew Bukuku + 8210 3141 7571
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.

Asanteni sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Eh! huyu mzee si mkiristo? alikuwa na wake wengi? au alikuwa muislamu?

    ReplyDelete
  2. wambea bwana..umeuliza je ni watoto zake,wajukuu au watukuu wake? badala ya kutoa pole ..maana na wewe huko ndiko uendako,unaleta umbea tu hapa. Michuzi vinabo wengine wafungie maana wanachafua hewa.
    tunaomba mwenyezi mungu ampumzishe
    marehemu mahali pema peponi.
    Bwana alitoa na ametwaa tumshukuru
    na kfurahi.

    ReplyDelete
  3. hao ni wakwe

    ReplyDelete
  4. Kuuliza si ujinga. Nadhani kulikuwa na typo errors. Sasa wewe badala ya kuacha maelezo yatolewe unatoa povu. lol RIP

    ReplyDelete
  5. wewe uliyeuliza kiumbea hapo juu..ulijibiwa kama ulivyouliza na hiyo R.I.P yako ya kinafiki ungeitoa katika message yako ya mwanzo...wewe ndie mwenye povu naona bado linakutoka...tafuta picha nyingine utolee comment..humu hutakiwi!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...