![]() |
| Mama Mwalimu AGNES J. SEKWAO |
Leo Tarehe 29 Novemba 2011 umetimiza miaka 13 kamili toka ulipotangulia mbele za Mungu siku ya Jumapili tarehe 29 Novemba 1998.
Kwa kuandika au kufikirika ni muda mrefu lakini kiukweli bado upo nasi sana mioyoni na maishani mwetu. Pengo uliloliacha mama ni kubwa sana na hakuna aliyeweza kuliziba.
Unakumbukwa sana na familia yako iliyokutegemea sana. Mumeo mpendwa Kanali (mstaafu) Hanan Sekwao, watoto wako Humphrey, Dora, James, Peris na Last wanakumbuka sana hekima, upole na mafundisho yako mama. Majirani zako, walimu wenzako, wanafunzi wako na ndugu zako wote hawaishi kukukumbuka daima.
Tulikupenda sana mama yetu lakini tunaamini Mungu alikupenda zaidi na umepumzika kwa Amani.
Hekima na Busara zako mama bado zinaangazia maisha yetu.
Jina la Bwana lihidimiwe milele.
Familia ya Kanali (mst) Hanan Sekwao,
Gongolamboto-Dar es salaam.



We always pray to our good Lord above that you are rested in the eternal peace untill the time we meet again as a family. YOU ARE SO SPECIAL MUM!
ReplyDeleteAmen
Chuwa
Rest in Peace Mwl Sekwao,From Lulu M.
ReplyDeleteArea A No5
May you rejoice with the lord Mama Mkubwa. We thank the lord for the time he blessed us with you.
ReplyDeleteChilo.
Mungu amlaze marehemu Mama Sekwao mahali pema peponi Amen..Namkumbuka huyu Mama alikuwa mwalimu wangu/wetu pale Lugalo Primary School miaka ya 1980-1987 bila kuwasahau watoto wao Kina James Sekwao na wengineo
ReplyDeletemungu ahimidiwe na akulaze mahali pema mama!
ReplyDeleteIn the world of body you are gone, in the world on spirit you are still with us.
ReplyDeleteRIT aunt.
Imma.