Home
Unlabelled
landrover freelander for sale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mdau muuzaji hiyo gari ni petrol kwa bei hiyo itakuwa kazi kuuza ingekuwa diesel ingekuwa poa
ReplyDeletemimi naweza kuichukua niwasaidie ndugu zangu wapate gari ya kuwafikisha shamba kama tutakubaliana nitakupa hela za kitanzania shiling milioni 12. tuwasiliane kikweli sio kupotezeana wakati.
CC WaTZ kwa kujifanya wajuaji bwana ..kama unaona haikufahi kaa kimya.Ameweka namba za simu kama unahitaji kuuliza kitu fulani wasiliana naye.Mbona mimi niko nje ya nchi na kuna vitu nimewulizia kanijibu..??Acheni hizo
ReplyDeletehana pesa huyooo ukiona hivyo nimwosha kinywa tuuu huyooo!!!!!
ReplyDeleteNi uswahili mpaka ndani ya makaburi , lazime wakosoe. Shenzitaip ndio maana hatuendelei! nani kakwambia kwa bei hiyo hawezi kuuza ? kama wewe huna pesa wengine wanazo watanunua ndio maana kaweka contact zake kama una upungufu utaelewana nae sio kuanza kuweka veto kama wakazi wa mbagala, hilo gari wala sio la kuendea shamba hilo ni la kutembelea mbezi beach na oysterbay kwa matanuzi ya vijana . MUUZAJI WASIKUKATISHE TAMAA HAO JAMAA NDIO WASWAHILI WALIVYO
ReplyDeleteMDAU Amsterdam,Holland
Anony wa pili una jazba, mkuu hapo hajatumia lugha mbaya - ni katoa maoni yake tu... na hiyo ni haki yake so long as hajamvunjia heshima Jamaa. Hiyo misemo yenu ya kama haikufai "kaa kimya"... Ndio inatuangusha, lacking confidence!
ReplyDeletemdau muuzaji hiyo gari ni petrol kwa bei hiyo itakuwa kazi kuuza ingekuwa diesel ingekuwa poa
ReplyDeletemimi naweza kuichukua niwasaidie ndugu zangu wapate gari ya kuwafikisha shamba kama tutakubaliana nitakupa hela za kitanzania shiling milioni 12. tuwasiliane kikweli sio kupotezeana wakati
----------------------------------
kweli, mdau wa kwanza ndo wale wajuaji wasiojua. Muuzaji anataka $11,500 jamaa anataka kumpa Tsh 12M. Baada ya kukandia bado anataka kulipa $500 zaidi ya Asking price.Haya hapo mjuaji ni nani?
Huyo anoy wa kwanza ni kabila fulani hv kuleeeee karibu na.....kama unaelekea sudan
ReplyDeleteWewe uliyomkopy mdau wa kwanza angalia kwa makini...Kuna dola 11500(sawa na TSh.karibu millioni 20za TZ) na yeye anataka kumpa TSH.Mil 12 za TZ siyo dola 12000!.Unacheza na dola hey?
ReplyDeleteDavid V
We msemaji wa 03:50 ndo umechemka?!!! nani kakuambia $11,500 ni less than Tsh 12M. Nenda shule $11,500 ni zaidi ya Tsh 18,000. Ambayo kwakweli ni nyingi sana ukianagalia hata kwenye mtandao bei za magari used. Ndio maana ya blog kuna sehemu ya kutoa maoni mwache ajimwage. Hiyo bei ya dola 11500 ina fukuza potential buyers. Muuzaji lazima aelekezwe. Kuna watu hawapendi kubargain bargain. Mdau wa Magu
ReplyDeleteKwa mjibu wa World Bank, exchange rate ya leo yanionesha kuwa 11,500 USD ni sawa na 20,170,999.88 TZS. Saa huyu anayesema kuwa kwa kulipa 12M anakuwa amelipa 500 USD zaidi, anamanisha kuwa 1 USD = 1090.90 TZS. Exchange rate ya hivi, nadhani ilikuwepo miaka mingi tu iliyopita, kabla ya nchi kuingiliwa na viongozi wafilisi. Kwa hiyo tuwe makini tunapotoa maoni. Haya maoni yanasomwa na watu wengi sana: watu wa kawaida, wasomi wa kawaida, wasomi walobobea, nk
ReplyDeletemimi ndio huyo mdau wa kwanza hapo juu nilietangtulia kwa kusema naweza kununua kwa milioni 12 ndio uwezo wangu.
ReplyDeleteasanteni wote mlionielewa na poleni wote wenye ugumu wa kufahamu na jazba zisizo na maana.
Lakini hapa wewe mdau wa kwanza usijitape kwa kuwaita watu kuwa wana ugumu wa kufahamu. Wewe ndiye mwenye ugumu wa kufahamu, maana mtoa tangazo la biashara anasema kwa uwazi kuwa 'Price is negotiable'. Zaidi ya hapo katoa namba zake za simu. Sasa kama siyo upumbavu kuna sababu gani ya kutoa maoni yako hapa wakati waweza kuwasiliana naye na ku-'negotiate' kama alivyosema yeye.
ReplyDeleteMDAU WA MILIONI 12SHS ITABIDI TUWASILIANE NIKUTAFUTIE GARI YA MAANA YA KUPELEKA KWENU ISAIDIE WAZAZI WAKO.
ReplyDeleteOFFER YAKO NTAICHUKUA NA NTAKUTAFUTIA MINI 4X4 AU RAV 4 MADHUBUTI NA HATOKUSUMBUA KUNUNUA VIPURI KILA MARA.
KAMA UPO TAYARI SEMA TUWASILIANE HARAKA. USAFIRISHARI NI GHARAMA YAKO NA USHURU UTALIPA MWENYEWE. GARI UTAPATA FRESH KABISA. OGOPA SANA FREELANDER UGONJWA MKUBWA HEAD GASKET. HAZICHELEWI KUFA MWANANGU.
Wewe mdau wa Amsterdam, Holland hebu nikuulize ivi ni mara ya mwisho lini ulifika Mbagala? ivi umeona huko mbezi beach na oyesterbay ndo matawi umemaliza sio acha ushamba njoo tukutembeze uone wenye akili na wajanja wote saa izi wanaishi mbagala sio mjinga mjinga kama wewe wa karne ya 47!
ReplyDeleteAnon Tue Nov 15,03:50:00 PM 2011 wewe ni kilaza, lazima ulikuwa unamkimbia mwalimu wa hesabu darasani yaani hujui tofauti ya dola na shilingi?!! alafu unajitia kumkosoa mdau hapo juu teh teh teh
Sawa, tuitumie Blog kwa maana endelevu.
ReplyDeletehivi humu hamna kitufe cha like?? kuna watu wanajiona wajuaji kumbe mazezeta tu kazi ni kuponda pasina tumia akili.we unayezarau mbagala unamawazo mgando na yakizamani na utaendelea kubeba box hata nauli ya kuja home utakosa
ReplyDeleteHuyo anon wa amsterdam uholanzi mshamba kwelikweli, ndio wale walee, wanaishi mbagala, lakini kutwa wanashinda masaki ama obay wakidhani ndio ujanja kumbe ushamba uliotukuka, !anaacha kuendeleza kwao mbagala, anakuwa na friends wa obay, mwisho wa siku anajikuta wale wale wa obay/masaki wanahamia mbagala ktk bangaloo zao, anashangaa na roho yake, asikudanganye mtu, mbagala sasa hiv pako juu ile mbaya
ReplyDeleteSiku hizi haya ndio masuala pekee ambayo wanapokea maoni na kuyatoa. Mambo ya kukosoa chama au serikali maoni hayatoki ng'o. Na habari inahamishwa upesi kwenda kurasa za ndani.
ReplyDeleteKuhusu mada ya gari ni kwamba Tanzania ukiwa unauza kitu lazima watu wakandie hicho unachouza ili wakuchakachue bei. Huyo anayedai ana 12Milioni . Mkishaonana atakushusha mpaka milioni 6. Baada ya stori kibao mara chukua 4 kwanza mbili baada ya kurudi kutoka china atamalizia!!!1 du
Wachaga!!!!!
hee mwe ndo nini sasa hii?!
ReplyDeleteJamaa hapa kaweka gari na bei mwenye kutaka piga simu muelewane bei maneno kwisha sasa nashangaa imekuwa uwanja wa malumbano halafu wote mnajisifu kila mmoja kwa namna yake bado kazi ipo
ReplyDeletewewe unaejitangazia upo amsterdam uholanzi wewe ni limbukeni wa mwisho kabisa
ReplyDeletekazi kusifia obay wakati kwenu ilala
kwanza unaishi huko uholanzi kama mkimbizi wa kirundi na kama unabisha sema tuweke picha yako hapa watu wakuone
huyu jamaa kakimbia bongo kwa ujambazi kakimbilia holland kaamua kuomba ukimbizi wa kirundi sasa kawa mjuaji
Ankali tunakuomba usimalize huu mdahalo tuachie tuoshe vinywa.
HAKI YA NANI TENA ANKALI MISUPU TUNAKUOMBA TUACHIE HII MADA
ReplyDeleteTUPE RUHUSA TUCHAFUE HALI YA HEWA KWA MADA HII TU NATAKA KUMJERUHI MTU KWA MANENO PLZZZZ
mjomba issa michuzi
ReplyDeletenaomba uwe unarudisha rudisha hili tangazo kama unavyofanya maana linaleta raha sana
jana nilikuwa na mihasira yangu basi kuingia humu nikaanza kusoma hizi comments nimecheka sana
kwa hakika watanzania tunajuwa kuchekesha maneno matamu hayamuumizi mtu ila yana vishindo
ahsante sana mjomba issa.
Jamia eeh sasa mjadala wa gari umekwisha, sasa twende siasa bado umeme na maji na barabara ,hospitals na rushwa let discuss haya mambo kama yakiwa shwari basi hata huko kunakoleta ubishi huu na maneno(mbagala kutakuwa kama obay,au masaki. Nafikiri ni mada ilioleta muamko wa akili kwa wana siasa wetu wachangamke bongo yote iwe mswano kama kama huko kuzuri kunakotajwa
ReplyDelete''Gari'' mada kuu...iuzike kama bei ilivyotajwa na hali yake inavyoonekana ktk picha na kwa mawasiliano na muhusika kwa namba za simu alizotoa.
ReplyDelete''Mbagala'' mada mbadala- kwa kweli sasa pako juu sana! asikudanganye mtu-NANUKUU SIFA HIZI CHINI:
1.Ni sehemu ambapo maisha yapo mgawanyiko kulingana na hali yako, tofauti na sehemu zingine za jiji hazina mgawanyiko watu wanalazimika kuishi level moja.
2.Usafiri (foleni, muda wa safari) kutoka au kurudi ni chini ikiwa hakuna foleni ni wastani wa dk 20 hadi dk 30 kulinganisha na sehemu zingine.
3.Hadhi ya maisha, (ubora wa makazi)zipo Mbagala za aina nyingi kulingana na hali ya maisha kuna, Maji Matitu,Charambe,Chamazi,Chanika,Mgeni nani,Mihande,Tua Ngoma. (((kubwa ya mambo mtu ajaribu kutembelea Mgeni nani na Mihande halafu aje aandike aseme))).
4.Maji safi: Kwa kweli Mamlaka ya Dawasco haipo ktk utendaji kule, bali Wizara ya maji ilishaleta wataalamu wa nje wakapima na maji yakathibitishwa kuwa ni salama kwa afya ya binadamu, pia pana Mawakala Binafsi wa kusambaza maji safi kwa mashine za pampu,,,mfano Mgeni nani wapo wawili.
5.Mabenki: zipo benki 4 na ktk hizo 2 ni benki kubwa za zinazoongoza kibishara nchini CRDB na NBC, na future ya asasi za kifedha ni mwanana muda ujao.
6.Idara ya Polisi inafanya kazi ya ziada kwa usalama Mbagala, ila sehemu chache kama Kiburugwa pana uhalifu wa hapa na pale.
7.Ujenzi na Uwekezaji, kwa ujumla umeshamiri kama mjuavyo AZZAM FC ina uwanja wake wa makazi ,pia kiwanda na viwanda vingine vingi tu.
WATU WANAITATHIMINI MBAGALA KWA HISTORIA YA ZAMANI YA KIMAPOKEO TU, WENGI HAWAJATEMBEA HUKO SASA, NI KUWA MBAGALA YA MIAKA ILE KITAMBO SIO MBAGALA YA SASA!
NAMALIZIA: GARI IUZIKE KWA
RIDHIKA NAYO, PIA MBAGALA IPO JUU!!