Mbunge wa Jimbo la Peramiho,Mh. Janesta Mhagama akicheza ngoma ya chomanga akiwa sambamba na wasanii wa kikundi hicho jana mjini Songea.
Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Bi Hafisa Mwambungu (mwenye kofia) akicheza ngoma ya asili na mbunge wa jimbo la peramiho,Mh. Janesta Mhagama nyumbani kwa mbunge huyo mjini Songea jana.Picha na Muhidini Amri.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...