Baadhi ya wananchi wa kutoka Vijiji nane vya Wilaya ya Mvomero na kimoja Wilaya ya Kilosa pamoja na viongozi mpango wa Tanzania Integrated Water , Sanitation and Hygiene ( IWASH) sambamba na wanafunzi wakiwa kwenye maandamano yaa siku ya choo duniani . ambayo hufanyika kila mwaka Novemba 19, na kwa Wilaya ya Mvomero ilifanyika Kijiji cha Makuyu.
Mfanyakazi wa mpango wa Tanzania Integrated Water , Sanitation and Hygiene (IWASH), akiandika kwenye karatasi katika mgongo wa mmoja wa wafanyakazi , wakati wa siku ya maadhimisho ya siku ya Choo Duniani , ambayo hufanyika kila mwaka Novemba 19, na Wilaya ya Mvomero ilifanyika Kijiji cha Makuyu.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Wami Dakawa, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, wakionesha igizo la kunawa mikoni mara baada ya kutoka kujisaidia kwa lengo la kujikinga na maabukuzi ya magonjwa kama ya kuhara na matumbo pindi , igizo hilo liliokuwa ni maalumu kwa ajili ya siku ya Choo Duniani inayofanyika kila mwaka Novemba 19, ambapo katika Wilaya ya Mvomero yalifanyika Kijiji cha Makuyu.
Wasanii wa kikundi cha Kimsali cha ngoma ya Selo kutoka katika Kijiji cha Makuyu, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro wakitumbuiza wakati wa sherehe ya maadhimishi ya siku ya Choo Duniani inayofanyika kila mwaka Novemba 19, ambapo Kiwilaya zilifanyika kwenye Kijiji hicho cha Makuyu.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.
UMUHIMU WA CHOO UNANIKUMBUSHA WAKATI NILIPOKUWA NASOMA LUSHOTO,WASAMBAA KATIKA NYUMBA WANAWEKA LOCKEY/KUFULI CHOONI TU,MLANGO WA KUINGILIA NYUMBA PATUPU.
ReplyDeleteIT WAS FUN..LOL
kazi yenu ni hizo sherehe tu, mbona hizi siku nnyengine tunaziskia hapa kwetu tu, mapaka hapa tulipofika , miaka hamsini ya uhuru watu wanafahamishwa umuhimu wa cchoo , hataariiiiiiiiiiiiii
ReplyDelete