Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,wakati akimpa maelezo ya jinsi ya kutengeneza Jembe la Asili la Ufipa linalotengenezwa kwa kutumia Chuma cha asili kinachofuliwa na watu wa Rukwa na Katavi, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakitembelea mabanda ya maonyesho na kujionea Bidhaa za Vyakula vya asili vinavyotumiwa zaidi na watu wa Mikoya ya Rukwa na Katavi, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alipokuwa akimwelezea jinsi ya kuandaa na kumkausha samaki anayetumiwa zaidi na watu wa Rukwa na Katavi, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimwangalia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati akipata kinywaji cha kienyeji cha Pombe ya Chimpumu inayotumiwa na Kabila la watu wa Rukwa, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimshudia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , akinywa kinywa cha asili aina ya Chimpumu ‘Pombe ya Isute’ kinachotengenezwa na Kabila la watu wa Katavi na Rukwa, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka ndani ya nyumba ya asili ya watu wa Kabila la Wafipa, wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiangalia jinsi watu wa Rukwa na Katavi wanavyofua na kuandaa Chuma cha asili wakati uzinduzi wa Tamasha la Siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na na Kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam jana. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Nendeni kwa wapare wakawafundishe jinsi ya wao walivyopiga hatua kwenye kufua chuma. Ufuaji wao ulikuwa wa kisasa zaidi kuliko huo mliotuonesha.
ReplyDeleteMkoloni mtu mbaya sana kwa sababu aliua ujuzi wetu na sisi tukakubali.
nadhani hii ndio kazi haswa ya kijiji cha makumbusho
ReplyDeletewaziri anafundisha nini wananchi kwa kuchangia chungu kimoja na watu wengi kunywa pombe? ndio anataka kuonyesha yeye ni mtu wa watu sana au hiyo inakiuka usalama wa afya bwana aahh mambo mengine bwana!!!!
ReplyDeleteHIVI MAGONJWA YA KIPINDUPINDU NA KIFUA KIKUU YANA AMBUKIZWAJE? WAZIRI MKUU NA MAKAMU WAKE HAWAJUI HILI JAMBO?
ReplyDeleteinamaana pombe asilia imeshaanza kuruhusiwa ishakuwa halali sasa au badhi ni halali badhi haramu? mbona ilikua kamata kamata zamani?
ReplyDeleteKumbe mtoto wa mkulima naye anapiga ulabu? sikujua lakini huu ndio uhuru.
ReplyDeleteWaziri mkuu anakunywa pombe saa za kazi??? Tena mbele ya bosi wake??? Hivi katiba inaruhusu???
ReplyDeleteAcheni kulalama ovyo wabongo! Someni atiko nzima muelewe maudhui, sio kuangalia picha tu na kukoment!
ReplyDeleteAaaaaagh! Nice maagizo.
ReplyDeleteTUNAWANA TUBINGE WEEE,,,WOLA TUBINGE INGOMA WEE,,,INGOMA YE KUMWITU WE,,,PAMBAMOTO DAR ES SALAAMA AWAMU YA PILIDAR ES SALAAMA, PAMBAMOTO AWAMU YA PILI.
ReplyDeleteNA FUNA KUTALI NJILU KUTALI NZISI YA LUBINGA YA LUBUA NDULAMBU YA MALEMGA MIZIMU ZOSE EE...
Naomba mdau yeyoye asaidie kunyoosha mistari ya lugha ya wimbo wa Kifipa kabila moja wapo mkoa wa Rukwa ,wimbo uliimbwa na Vijana Jazz Pambamoto chini ya marehemu Hemed Maneti.