Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano we Kimataifa, Mhe.Bernard Membe akijadili mambo na Askofu Mkuu wa WAPO Mission International, Silvester Gamanywa Wakati wa kuhitimisha maandano ya kuchangia Ujenzi wa Shule ya Maadili mbezi beach Interchick WAPO mission. Picha na Assah Mwambene.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi huyo Askofu Mkuu hilo ni tumbo, matiti au ni mgonjwa? nimeiangalia kwa makini hiyo picha lakini nimeshindwa kupata jibu.

    ReplyDelete
  2. Khee kheeeee, wewe mdau wa hapo juu umenivunja mbavu zangu.Wewe angalia vyako bana hayo mengine mazito...........

    ReplyDelete
  3. Mh! Hebu msaidieni kwa kumuombea/kumshauri.Hakuwa hivyo, anapata faraja hadi ananenepa kwa ajili ya kuwaombea watu na kuwaponya?!. Anapaswa atenge muda aende jim afanye mazoezi ya viongu apunguze hizo nyama uzembe zilizoongezeka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...